RETURN OF HADITHI,SIMULIZI,MIKASA
Je wewe ni mpenzi wa hadithi,haya sasa
zile Hadithi ambazo hautohitaji kulipa chochote kile zinakuja ndani ya wiki hii.
Mwambie na mwingine mpenzi wa simulizi au hadithi au mikasa ya kusisimua huu ndio wakati wako kukaa unatulia huku ukijisomea taratibu na kujifunza mengi.
Tumekutaarifu mapema ili usije ukalaumu mbona hadithi zimekuwa nyingi 😀😀
Utre News ,where we meet!!

Comments
Post a Comment