Posts

RETURN OF HADITHI,SIMULIZI,MIKASA

Image
Je wewe ni mpenzi wa hadithi,haya sasa zile Hadithi ambazo hautohitaji kulipa chochote kile zinakuja ndani ya wiki hii. Mwambie na mwingine mpenzi wa simulizi au hadithi au mikasa ya kusisimua huu ndio wakati wako kukaa unatulia huku ukijisomea taratibu na kujifunza mengi.  Tumekutaarifu mapema ili usije ukalaumu mbona hadithi zimekuwa nyingi 😀😀           Utre News ,where we meet!!